SHUKRANI / THANK YOU

  • July 02, 2018
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments





KISWAHILI:
Napenda kutoa SHUKRANI zangu Kwako wewe na wewe na yule na wale na wote mliokaa hapo kati na nyuma kwa kuwa wasomaji waminifu wa Hadithi zangu

Nawashukuru:
Familia yangu
Kaka zangu
Dada zangu
Mawifi zangu
Mashemeji zangu
Majirani zani
Mabinamu zangu
Ndugu zangu
Marafiki zangu wote 
Mashosti wote
Maswahiba wote
Walimu wangu wote
Marafiki zangu wote wa shuleni,  chuoni, tuliouguza hospital 
Ndugu zangu wa kiroho Kanisani 
Wachungaji Wangu

Nilianza kuandika stori kwenye blog yangu mwaka jana (April 2017) nikiwa na mtu 1 tu anaesoma hadithi yangu na baadae nikabarikiwa kuwa na watu zaidi ya 200,000 Duniani Kote.

Sijawahi kuwaza kama nitafika hapa kwasababu Hadithi zangu nimeanza kuandika kwa lugha ya Kiswahili tu ya Africa Mashariki 

Mimi ni binti wa Kitanzania, niliezaliwa, kua, soma mkoa wa Dar es salaam mwenye shahada ya Kwanzaa ya Uhasibu na Fedha, sijawahi kuajiriwa kwa muda wa miaka 6 mpaka sasa, nimehangaika kama wengine wenu ambao mmewahi kuishi maisha kama yangu 

Lakini nikawa najiambia kama mwisho ni Mawinguni siwezi kujizibia nafasi ya kuwa Mkuu 

Sikumoja Rafiki yangu alinitambulisha kusoma Hadithi za Jamii forum, nikasoma Hadithi mbalimbali nikajiambia mbona mimi naweza kuandika Hadithi nzuri kuliko hizi Lakini sikuandika 

Nikajiunga kuwa mwanachama wa Jamii forum kwa lengo la kucheka, kukomenti na kucheka mpaka ikafika sehemu nikachoka nikaanza kuandika Hadithi yangu mwenye iliokuwa inaitwa SOME LEMONADE FOR YOU kwa Lugha ya Kiswahili, niliandika hii hadithi mwisho wa Disemba 2016 na ikapendwa sana na watu mpaka nikapata wasomaji elfu 68 

Sikumoja nikawaonyesha ndugu zangu idadi ya wasomaji wa Hadithi nilioandika Jamii Forum, wakaniuliza bado unataka kuajiriwa?! Ungepata hao watu 68,000 wakakulipa kila mmoja Tsh 100 utakuwa na pesa kiasi gani? !

Hauhitaji ajira, wewe ni AJIRA TOSHA, haujajua tu!

Baada ya hapo nikafungua Blog yangu nikaanza kuandika stories huko ilikuwa April 2017 .... mwaka m1 baadae nikawa maarufu Jamii Forum na kwenye Mitandao ya kijamii kwa  jina la Money Penny Tz na kila mtu alipenda na kutamani kuonana na mimi maana Hadithi zangu zilikuwa nzuri na zinachekesha 

Sikuanza na kitu, sikuwa na hela, nilikuwa nakopa hela ili ninunue vocha niweke Hadithi kwenye Blog yangu watu wasome ili nipate idadi wasomaji wengi lakini sikujua faida yake 

Sikumoja kaka mmoja asiekuwa na ajira kama mimi akasoma kazi zangu akanifuata kuniomba anitengenezee Blog yangu iweze kuwa na mwonekano mzuri zaidi na itakayo niingiza pesa, nikamwona kama ananidanganya lakini nikamkubalia... Nilipolipwa hela kwenye akaunt yangu ya bank nikaongeza imani juu ya alichokisema ingawa haikuwa hela nyingi lakini ilikuwa ni kitu kwangu

Akanifungulia na YouTube Channel ili wasomaji wa Hadithi zangu waweze kukutana na mimi maana wengi walitamani kuonana na mimi 

Kwa wale ambao hawaijui YouTube Channel yangu bonyeza video hapa 👇 kusikiliza
Usisahau ku-subscribe


Ninaomba radhi kwa wale wote walionitumia maombi ya kufanya nao shoo, walioniita kwenye vipindi vya redio, matangazo ya kampuni, hata kuchelewa kuleta Hadithi kwa wakati nilioahidi, tangu mwaka jana 2017 sijafanya kazi na mtu wala kampuni yeyote kwasababu nimekuwa buzy na wazazi kwa miaka 3, labda baadae!

Hadithi kwa Lugha za Kingereza nitaanza kuandika kuanzia Mwezi Disemba 2019

Instagram ninapatikana kwa jina 👇



Shukrani za pekee ziwaendee watu wote mnasoma Hadithi zangu toka sehemu mbalimbali Duniani:
Marekani
Nchi za Bara la Ulaya
Uingereza
Norway
China 
Indonesia 
Congo - Kinshasa 
Kenya 
Uganda 
Tanzania 


Mwisho kabisa Napenda kumshukuru Mungu wa Mbinguni kwa kunipa zawadi ya Kipaji cha uandishi, kuandika sio mchezo, hasa kuandika Hadithi ambazo hazifanani.

Wazungu wamasema Mlango mmoja ukifungwa mwingine utafunguliwa, na iwe hivyo kwako na kwangu na sisi sote. Amen. 


Kama una Stori / Hadithi yako ungependa kushirikiana nami kutoa kitabu au kuiandika tuwasialiane kwa barua pepe officialmoneystars@yahoo.com  

ASANTENI SANA
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

ENGLISH VERSION:


I want to thank each and everyone of you, Yes You and you and you and Yuuuhuuuu, yeah waaay back at the corner there, Yes You 😜

My brothers inlaw- Thank u
My sisters inlaw - Thank u
Neighbours - Thank u
My Cousins - Thank u
My Haters - Thank u
My Lovers - Thank u
My Pastors - Thank u
My Church Members - thank u
My Niggas ( Home Boys) - Thank u
My Shostitos - Thank u
My Wachagas- Thank u
My Wanyisanzu - Thank u
My Old & New Friends -Thank u
My University Friends - Thank u
My Family - Thank u
My Relatives - Thank u 

Thank you all for being frequent visitors of my Blog (page)

I started my blog 1yrs ago (April 2017) with only 1 viewer, but now am Blessed with 200,000+ viewers across the Globe 



Tanzanian Lady, born, raised in Dar es Salaam City. holding a BAF (Bachelor of Accounts & Finance), never had a job, i hustle like anyother(s)...

I told myself that, Sky is the limit and only I, would limit myself from becoming Great

One day my friend introduced me to this forum Called JAMII FORUM to read stories, I took alook at one story and said to my self I can write better that this!

I joined JAMII FORUM just to be a commenter of posts and Laugh.
I laughed untill I got tired and started writing my stories

I wrote my first story in JAMII FORUM called SOME LEMONADE FOR YOU in Swahili Language- December End 2016 and it turned out to be the Best story Ever written! 

I ended up having 68,000 viewers in that story and when I showed it to my family, they asked, "why do you want to be employed?!" 
With 68,000 viewers, if they can pay you 100tsh to read your story how much will you get?!

To make a long story short, I opened my own Blog and started writing, this was April 2017... 1 year later i am famously known as Money Penny Tz, the hillarious crazy Writer.

I started with nothing and by nothing I mean zero money. 
I would loan money to buy Internet Voucher to post my stories to get more viewers, but little did I know that Trafficking Techniques on Blogs!

One talented, jobless young man approached me and ask if he could help me make my Blog as both entertaining & income earning as possible.

I thought he was joking, but after receiving my 1st Payment from Google Adsense, I was like woot wooot?! 
It wasn't a big money, but it was something!

Later, I opened my own YouTube Channel, for all my fans to meet & get to know me. For those who missed my youtube videos click here 👇


Don't forget to SUBSCRIBE

I will be making some name changing on my blog, from Money Penny Tz to Money Stars! If you miss this URL then you can look for me in Money Stars URL name.

Yes, I am a STAR now 😜
I went from being Money Penny with Penniless (little) Money into a "Star".

English stories will premier this November End 2018, God Willing 🙏

My Instagram Page is 👇 




Special Thanks to my Viewers in 
United States
United Kingdom
Norway
China
Indonesia
Congo - Kinshasa
Kenya
Uganda and TANZANIA 



Thank You and Hope to See you and you and you and them, again & again & again & again untill the Kingdom Come. 

If you have a Story and would like to share plz email me through: officialmoneystars@yahoo.com 

THANK YOU
MONEY STARS! 




You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - OFFICIAL MONEY STARS | Designed by ARACK