WAPENZI WA KWENYE MITANDAO!

  • July 22, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments








Kuna jamaa alimpata mpenzi wake kwenye moja ya mitandao ya kijamii yaani Facebook, wakaamua kukutana live kwa sababu ya kutaka kufahamia kwa zaidi, wakaamua kutoka out ili kuanzisha mahusiano na mapenzi na baada ya hapo kupendana kabisa.

Siku zi nyingi toka wafahamiane kwenye facebook, wakaamua wakutane kimwili wakachukua hotel, mambo ya mechi na mengine mengi ya kikubwa yakaenda vizuri, Asubuhi demu kuamka hajamkuta jamaa akajua labda yupo katika kukaa na kujikagua akakuta nywele zake za sehemu za siri hazipo!

Kumcheki jamaa kwenye simu hapatikani, binti akaamua kupeleka kesi yake kwenye vyombo vya habari!

vyombo vya habari vikachukua hatua ya kumtafuta yule bwana kwa muda wao wenyewe, walipompata na kumweka jamaa kwenye mahojiano mengi, Jamaa alijibu: Mimi nilikutana na msitu kwenye sehemu za siri za huyo mwanamke, nikashangaa, kuona mwanamke mrembo kama yule anakosaje kujiweka safi mpaka anakuwa na msitu namna ile!? Kwaiyo akaamua kumnyoa.

Ndio sikumwambia, na wala sikufanya kwa sababu za kichawi au ushirikina hapana nilitaka kumfundisha somo kuwa wanawake wa karne ya 21 (wa 4G) huwa ni wasafi!

Jamani ndugu zangu huku mitandaoni, mnaochukua wanaume mitandaoni na unajijua we ni msichana wa 4G, mazingira basi weka safi, msituaibishe ooo!

Ni hayo tu kwa leo, ngoja niende kwa youtube ni kaangalie viewers wanasemaje mie.





You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - OFFICIAL MONEY STARS | Designed by ARACK