Hakyanani leo nimecheka hakuna mfano wake!
Natoka zangu nyumbani naenda kazini, kufika kituoni namwona shogangu anasubiri daladala. Nikamsogezea gari mguuni akasonya, maana hakujua huyu nani?! si unajua mambo ya tainted, nikaanza kumwita kiume psiiii psiiii bebi mchumbaa, njoo nikupe lift,
Akaangalia akasonya, mmmxiiiiiiiuuu shenzy type, alafu we mtoto bora nimekuona, akaingia kwenye gari akaanza kunichamba....
Shogangu: we mtoto unajua we mjinga sana, akiyanani, naonaga unavyopost kwenye website yako hadithi na vituko mtaani, hivi utundu utaacha lini lakini?
Tangu tupo wadogo wewe ni cha utunduuu, una vitukoooo alafu kaoooogaaaa, kaoneee kwanza, kwenye simu unatuletea fujo lakini live kama embe dodo! Ahahahaha, yani kwako wewe ni sheedah!Money Penny: Nambie wangu, shemeji hajambo?Shogangu: wai! hamna cha shemeji wala nini,Money Penny: Ah wewe! mrembo kama wewe hauna bwana?!Shogangu: acha tu! Wanaume wamenuna, type zangu hakunagaaa! Si unanijua nilivyo?! So nimeamua kuwa single tu pasua kichwa siwezi, Ila ofa na chenji za pembeni sizikosiEnheee, kwanza umenikumbusha wangu, juzi kati hapa nikapata kiberiti kimoja, hicho kiberiti ni sheedah!
Alikuja kaka m1 akajibwagaaaa nikamkataa, maana demu wake namfahamu vizuri sana, akaniganda weee nikamwambia poa let's take it slow, tukapiga round 2 za kufahamiana... lakini huyu bwana, bwana ananiboa kitu kimoja tu, anavyoomba mechi unaweza ukalia, huwa anaombaga hivi:"Aroo nipe basi nyepo hiooo, fasta basi mimi nimebanwaaa, yani ananifanyiaga fujo utadhani kuna vita inakuja mbele au utadhani anaoga nje! ni udicteta kwenda mbele,
Nikiwa sina hamu ya ku-do simtafuti, nazima simu nalala, sasa yeye akiwa na hamu weeee utaisoma namba, utamhurumia, nimeshafekisha nipo kwenye period mpaka basi, king'ang'anizi mpaka najuta kufungua kabati langu kwake, utadhani ana pepo la ngono!
sasa kwenye mechi basi utachokaaa! Bora angekuwa mkali! Ni vurugu utadhania bikraaaa, kuchuuu kuchuuu kuchuuu kuchuuu, vuuum vuuuum vuuuum vuuum, paaaaaa paaaaa paaaa paaa," kha!Money Penny: hahahahaha, yani leo nimecheka kidogo nigonge gari, uuuuwiShogangu: round ya 3 ilipoisha, nikamblock kote, akawa hana pa kunipata, sasa hivi, hizi genye penny bwana zitatuua bora, tubakiage single lakini sio kwa udicteta huu wa mechini,
Alafu waambie vijana wako waache udicteta kwenye kuomba mechi, lete lete, nipe nipe kha!Money penny: nikacheka njia nzima sio kwasababu anaombwa kidikteta bali ile toner voice ni sheedah!Shogangu: By the way kabla sijashuka, i read your shit religiously like everyday, your shit is good, you should write a book au scripts wauzie wenye movies, maam! hurry up kabla wabongo hawajakuibia kazi zako wakauza mtaani, nasomaga zote za Mtaani leo, Community, Stori za Kiswahili na Kingereza, zinachekeshaje sasa, sooo hillarious, classic, unique and everything in between...
Your stories ni kitu ambacho tunakihitaji sasa hivi, kwa maisha yetu magumu kila mtu amechanganyikiwa hajui cha kufanya wewe unatoa sapoti mtu akisoma anajiona khe! bora mimi kumbeee eeee...
Ni vile Ruge kakusahau kwa bahati mbaya, nina uhakika mwakani atakukumbuka ktk malkia wa nguvu wewe!
kwaheri!
Money Penny: geee thanks! I love you too hun! NikaondokaU dictetaaaaa weeeeeeee! Mapenzi sio ya kufosi jamani wanaume Msikieeee
TUONANE TAR 1 JULY 2018 SAA 1 USIKU YA TANZANIA KWA HADITHI KAMILI
0 comments