Ukweli sisi wanaume tuko matabaka tofauti tabaka moja unaweza kumpa ndio ikawa sababu ya kukuoa ,tabaka la pili ukimpa ndio umempoteza na tabaka la tatu ukimnyima anaweza kuamini kuwa wewe bado uko vizuri na ndio itakua ushawishi mkubwa kwake akuoe. Ila kwa wanaume wengi wa sasa bila kumpa atakwambia vipi unataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia??inabidi umpe ajue kama unaweza ukamudu kazi yake ,ushauri wangu muonjeshe ili apate msimamo kamili kama abaki na wewe kwa matumaini ya ndoa au aondoke zake asikupotezee muda
hahaha, akishaondoka zake si atakuwa ameondoka na lulu ya dogo au?! na akiondoka na lulu ya dogo, dogo unadhani atakuwa kwenye wakati gani ktk maisha yake?!
A WRITER, PUBLIC SPEAKER, VLOGGER, SCRIPT AND SONG WRITER.
_____________________________________________
MWANDISHI WA HADITHI ZA MAPENZI, MAHUSIANO NA MAISHA, BILA KUSAHAU SCRIPTS ZA SINEMA NA TUNGO ZA MIZIKI
KARIBUNI SANA
2 comments
Ukweli sisi wanaume tuko matabaka tofauti tabaka moja unaweza kumpa ndio ikawa sababu ya kukuoa ,tabaka la pili ukimpa ndio umempoteza na tabaka la tatu ukimnyima anaweza kuamini kuwa wewe bado uko vizuri na ndio itakua ushawishi mkubwa kwake akuoe.
ReplyDeleteIla kwa wanaume wengi wa sasa bila kumpa atakwambia vipi unataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia??inabidi umpe ajue kama unaweza ukamudu kazi yake ,ushauri wangu muonjeshe ili apate msimamo kamili kama abaki na wewe kwa matumaini ya ndoa au aondoke zake asikupotezee muda
hahaha, akishaondoka zake si atakuwa ameondoka na lulu ya dogo au?! na akiondoka na lulu ya dogo, dogo unadhani atakuwa kwenye wakati gani ktk maisha yake?!
ReplyDelete