UKIMYA

  • July 11, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 2 Comments







You Might Also Like

2 comments

  1. Ukweli sisi wanaume tuko matabaka tofauti tabaka moja unaweza kumpa ndio ikawa sababu ya kukuoa ,tabaka la pili ukimpa ndio umempoteza na tabaka la tatu ukimnyima anaweza kuamini kuwa wewe bado uko vizuri na ndio itakua ushawishi mkubwa kwake akuoe.
    Ila kwa wanaume wengi wa sasa bila kumpa atakwambia vipi unataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia??inabidi umpe ajue kama unaweza ukamudu kazi yake ,ushauri wangu muonjeshe ili apate msimamo kamili kama abaki na wewe kwa matumaini ya ndoa au aondoke zake asikupotezee muda

    ReplyDelete
  2. hahaha, akishaondoka zake si atakuwa ameondoka na lulu ya dogo au?! na akiondoka na lulu ya dogo, dogo unadhani atakuwa kwenye wakati gani ktk maisha yake?!

    ReplyDelete

all rights reserved - OFFICIAL MONEY STARS | Designed by ARACK