My other passion, ukiacha kuandika hadithi na mambo ya jamii ni Muziki
Napenda sana Mziki, naamini hata wewe pia ni mpenzi wa Muziki, napenda miziki ya lugha zote kiswahili, kingereza, Kifaransa, Kirusi, Kikongo, Kwaya na nyimbo za injili n.k
Ila kuna huu wimbo ambao mwezi huu wa 9 mwaka 2017 nimetokea kuupenda sana, Unaitwa Makeba
Huwa naskilizaga kwanza mziki ndio naenda kwenye Lyrics kusoma maneno,
Kwa wale wanaojua Mziki, sio lazima sana uvuuume alafu upotee, huu mziki unaweza pigwa popote, kwenye Matangazo ya Biashara, kwenye Madisco kwenye Libraries za vitabu (Book Stores), Kwenye Mahoteli na Restaurant, na jinsi alivyoupangilia video na mziki vyote vimeendana!
Na kwasababu mziki wake unaingia kokote, kampuni ya Jeans ya Levi ikaamua kumchukua kwenye Tangazo lao la September Edition 2017
Ningefurahi kama Waimbaji wa Ki-Tanzania wangetoa Miziki Mizuri, Classic kama hii ambayo inaingia kokote,
Ila mimi nimependa zaidi Lyrics ya wimbo huu:
[Chorus]
Ooohe
Ooohe
Ooohe
Makeba, makeba ma che bella
Can I get a ooohe
Makeba, makes my body dance for you
Ooohe
Makeba, makeba ma che bella
Can I get a ooohe
Makeba, makes my body dance for you
Ooohe
Makeba, makeba ma che bella
Can I get a ooohe
Makeba, makes my body dance for you
Ooohe
Makeba, makeba ma che bella
Can I get a ooohe
Makeba, makes my body dance for you
[Verse 1]
I wanna hear your breath just next to my soul
I wanna feel your breasts without any rests
I wanna see you sing, I wanna see you fight
Cause you are the real beauty of human rights
Wimbo upo simple, short and clear!
Anywho: nitakuwa naweka / naandika Lyrics za Nyimbo tofauti tofauti kwa Lugha ya Kiswahili kwanza, hapa kwenye Blog yangu,
Kama kuna Msanii yeyote anayependa kuchukua Lyrics karibu!...
Ingawa nitakuwa naziuza, japokuwa sio bei saaaaaanaaa! Inategemea na ukali, uzuri na ubora wa Lyrics
PS:
Lyrics za Nyimbo zoooote unazozijua, za Kidunia (Mapenzi, Mahusiano, Maisha), za Mungu!
Untill we meet here again, Bye Bye!....