Jana nilikuwa maeneo fulani natembea tembea nashangaa jiji na nchi ya watu
Nilipokuwa nakula kwenye mgahawa, nyuma yangu walikuwa wadada wanakula wa 5, wote wanaleta shobo shobo za kike kike na kujisifia maisha yao walipofika mazuri ... wote wana kazi, wana hela, wana waume, wote miaka yao ni 30 mpaka 33.. maongezi yao walikuwa wakimsema mwenzao ambae hajaolewa, hakuwepo pale
Sisi tumeolewa kila mmoja ana watoto 2, na tunajua waume zetu wanatupenda sana, na tumeolewa kwasababu ya uzuri wetu, bila uzuri tusingeolewa sio kama shoga yetu fudenge, anaenda miaka 34 hajaolewa na hiyo sura yake mbayaje sasa, kabakia kudate tu wanaume
Ikanibidi nigeuke niwaangalie hao wazuri wanafananaje nikakuta ndio wazuri lakini sio kiviiiiiiiileee yani hawashtui samahan kwa kusema hivyo
Yani ukiondoa makeup na hizo nguo za ghali walizovaa, sura zao zinabakia kuwa mbaya kama ya money penny hapa 😂
Baada ya dk 10 akaja huyo shoga yao ambae walikuwa wanamsema akawasalimia, maskini kazurije sasa, hakajapaka makeup lakini kazuriii sana
Akaja na kaka m1 wakawasalimia, yule dada akawaambia nawakaribisha kesho nalipiwa mahari nyumbani mje saa flani na wiki ijayo naolewa. wenzake wamebaki wanashangaa, akawaaga akaondoka zake na bwana wake handsome kweli wanawakodolea macho
Wale wasemaji wakuu wanamshangaa kapataje bwana handsome wakati sio mzuri kiviiiile yule mwanaume kaona nini?! Wakawa wanalalamika typical tabia za watoto wakike, wanatukana huyu bwanake anaonekana ana hela balaa, angalia nguo alizovaa za bei mbaya
Angalia na shogaetu alivyovaa kama housegirl aibu,
Unajua nilichokifanya, ni kuinuka na kuwaambia wale madada kwa hasira japo nipo nchi za watu
"Kinachompeleka mtu kwa mume sio uzuri wala hela wala kazi ya mshahara mkubwa ulionayo wala utajiri ulionao wala nini, nyie pamoja na mimi pamoja na house girl aliyepita tunakuwa na kitu kimoja tunachofanana, nacho ni CHIU
CHIU ndio inayotupeleka sisi kwa wanaume, ukamfanya mwanaume awe anakuhitaji - so grow up Bitches!"
Nikaondoka nimewaacha wananishangaa mimi na wowowo langu kubwa kama gari la maji taka 😂 maana hawakuamini mwafrica ataongea vile
Afu huu ujinga upo hata kwetu Africa, nani kawadanganya watoto wakike kuwa uzuri au kuwa na pesa nyingi au utajiri ndio unafanya msichana aolewe?!
Mbona waume zenu wanawacheat nyie wazuri na wanawake wenye sura mbaya kama moneypennytz hapa, mpaka tunajiuliza ivi huyu baba kalogwaaa au?! Ina maana ameacha nini kwa mkewe mpaka akafuata kwa huyu mchepuko?!
Kiru! embu niende kwa Mangi nikapate moja moto moja baridi msinichoshe mimi
0 comments