Wanasema, desperate times calls for desperate measures!
Lakini wadada wa kibongo sikuhizi bwana nawapenda kwa kupitiliza sana, sio kwa
kujiamini huku!
Kuna rafiki yangu ametoka kunipa surprise, ananiambia
kuwa alikuwa na bwana wake, kwa miaka 3 sasa, hakuona kabisa dalili ya jamaa
kumuoa.
Siku moja akaamua kumtoa out bwana wake, wakiwa wanakula, wanafurahi,
wanapata misosi ya nguvu, wakati wa dessert, rafkiangu akamwambia bwana, unaonaje tukioana?
Jamaa yake: akatoa macho, anamwuliza kweli?
Rafkiangu: Ndio, kwanini tusioane? hatuna cha kupoteza u know na tumefahamiana vya
kutosha
Jamaa: sawa, hamna shida!
shogangu akafurahi hakuamini, wakaamua kwenda kumaliza show chumbani kwao, hakukuwa na
pete ya kuvishwa wala nini, na harusi yao ni Jumamosi ijayo.
Mnaona wasichana! hii ndio njia mpya ilioboreshwa zaidi ya kukufanya uolewe haraka!
Ukisuburi fairy tale utasanda!
Romeo and Julieth Bado hawajaamka
usingizini ivooo? Usije subiri miaka 2000 kurudi kwa Yesu.
Desperate times calls for desperate measures!
Ndo ivo akina dada mjitoe ufahamu sio kunata nata tuuu.
am just sayiiing!
am just sayiiing!
0 comments