Naomba niwakumbushe wanaume kuwa, kazi ya mwanaume mileleeee mpaka
anarudi kaburini na mavumbini ni ku-provide! Kutoaaaa! Yani wewe Mungu
amekuweka duniani ukishapata akili we kazi yako ni kutoooaaa!
Kama hautaki basi tukuchangie uende marekani tukakubadilishe jinsia
usubirie kuleta viumbe duniani, lkn kama hautaki kazi za kike toaaaaa!
Proviiiiideeeee!
Usitulalamikie wanawake, sisi mbona hatuwalalamikii tunazaaa, tunaleeeaaa, tunawapa sheria watoto wanakuaaaa, wanaoaaa, tunapata wajukuu?
Ila mwanaume anapokuwa Marioo au Yahaya ndio inatia hasira na kuchoshaaaa ..
Na ni tabia mbaaayaaa sana kumwomba mwanamke hela, mbayaaa yani ni sawa
na kumlala mama mkwe wako uliemuolewa mtoto wake wa kike... that bad!
Wiki 4 ziliopita nikiwa ofisini akanifuata mfanyakazi mwenzangu, Penny Penny kuna kitu nataka tuongee! Yani sikuhizi
wamefufuka mashetani sijawahi kuona
TAPELI WA 1:
April 2017 nilikutana na kaka m1 kwenye traffic lights za Posta natokea
CBE, akanichangamkia nikamkazia, akachukua namba ya gari yangu
akanipandia hewani sikujua amepata wap no yangu ya simu, tukawa
tunawasiliana akaomba tuonane nikakaza, akaninyegeza nikakubalii,
tukaonana maeneo salamaa
Tukaingia kwenye mahusiano bwana, mubashara kabisa, siku ya 1 ... 2... 3
lkn muda mwingi tukionana ananishika shika, mara nyonyo mara ananishika chiu
yani very rude.. akaniuliza unafanya kazi wapi, nikamdanganya sina,
natafutaaa
Akaanza mashauzi ntakutafutiaaa kazi, au nikufungulie biashara?! Unataka
kufanya biashara gan?! Nikamwambia ya msosi, akasema atanipa mil 20
nipige tu mahesabu ila uwezo wake mil 20, kumbe hamna kitu yahaya mtupu!
Alipotaka tu-du nikamwambia nipo kwa period, akanipotezeaaa, kesho yake
nikamdanganya unajua mimi ni bikra?! Akasema eee basi hamna shida ukimaliza
MP nitakutafutaa, ndio ikawa mwisho wa kuonana na hilo jinamizi
Baada ya wiki 1 namkuta yupo na dada m1 kempinski wanakula lunch mubashara
kabisa ila hakuniona mimi, baada ya msosi wakaenda kwenye gari ya yule demu
alikuwa anaendesha discovery 4 tinted, wakakaa huko ndani ya gari lisaa 1
TAPELI WA 2:
Wiki mbili zilizopita, nilikutana na mdogowake class mate wangu tukasalimiana namwuliza
dadako hajambo?! Akaniambia we acha tu Penny, rafkiako kawa kichaa?!
Money Penny: kivipi tena?!
Dogo: Matapeli matapeli dada Penny wamemfanya dadangu awe kichaaa!
Dadaangu alipata bwana kwenye ndege anaelekea china kuchukua mzigo si unajua mwenzio anafanya biashara skuhizi
Money Penny: ndio najua, enhe!
Dogo: huyo Bwana sasa akajilengesha wakapeana contacts, wakaanza mapenzi
aliporudi bongo, ilikuwa mwaka 2016, kufika Sept 2016 jamaa akamkopa
sista laki 5 ntarudisha akapewa akarudishaaa
Oct 2016 akakopa mil 1 akapewa na sista akarudisha on time
Nov 2016 akakopa mil 5 akapewa na sista akarudishaa on time
Dec 2016 akamkopa mil 8 akafanya yake akarudisha
Jan 2017 akaja kutoa maharii mahari ikapokelewaa gadamit, dada akajua
hapa naolewaaa lile jamaa likaja likamkopa mil 15 sista akampaje sasa,
maana alimwaminisha hakuna mfano kwake kamwonyesha gari kamnunulia
akajua mume ndo huyuu Mungu kanionekaniaaa nyoooo!
Kuja kushtuka muda wa mrejesho wa mil 15 jamaa hapatikani kwenye simu,
kumcheki home kwake akaambiwa haishi pale alipanga kwa muda wa wiki 2,
sista akachokaa! Siku anazunguka na ile gari akasimamishwa na traffic,
akaambiwa sista hii gari imeibiwaa akawekwa ndani tukamtoa kwa dhamana
ya mil 3 ktk kuhojiwa hojiwa mapolisi wakamwambia huyu muhusika
twamjuaaa, ni jambazi sugu, limekubuhu, linatafutwaaa dada... we fanya
kusamehe kama amekupiga samehe sie mapolisi tumemshindwaaa!
Sista akalia mpaka akawa kichaa hapa nakwambia Penny sista amekuwa nusu kichaa nusu tunaee
Money Penny: nikachokaaa!
jaman nyie wanaume kwani mmekuwaje lkn? Ivi hawa majesusi, wametokea wap
tenaa ule wizi wa miaka ya 70 unerudi 2017? mshindwe na mlegee kwa jina
la Bwana! Inabidi tuwaombee maombi ya mauti tu maana kama serikali
imewashindwa nani atawaweza?!
Ndio mnajijua kama ni wewe tapeli unasoma ushindwe kwa jina la Yesu!
Nimenunaaa kwa niabaaa ya wanawake wenzanguu!
Na nyie wanaume mnaotongoza wanawake kwenye mataa mnaboaa sijawasikia
leo ivoo hapa naandaa stori kwa ajili yenu, tutawafungia vioo mpaka
mwisho stupeeed!
Wanawake wenzangu muwe waangalifu Dar ishaharibika ilo shetani la miaka 70 - 80 lishindwee!
TAREHE 5 AUGUST 2018 NITAKULETEA HADITHI KAMILI YA MATAPELI
SAA 1 USIKU YA TANZANIA USIKOSE
TAREHE 5 AUGUST 2018 NITAKULETEA HADITHI KAMILI YA MATAPELI
SAA 1 USIKU YA TANZANIA USIKOSE
0 comments