MPENZI WAKO ANA TABIA GANI?

  • July 16, 2017
  • By Money Penny Tz ~ Stories
  • 0 Comments








Mpenz msikilizaji:
Huyu huwa yupo buzy kusikiliza matatizo yako lakini hakusaidiii wala nini na hata ushauri hakupi lakini anakuimbia nyimbo za nakupenda nakupenda nakupenda au nina genye, nimekumiss njoo basi leo tuonane... Ila mambo ya kijamii hakusaidiii, kama ni mwanamke pesa za matumizi hakupi ila anategemea akupe machine yake na wewe utoe yako kwa bure

Nimeshakutana na wadada wengi wanalalamika sana, mmoja akasema mwengine nilimwita, njoo nikupe mautamu leo nina genye, akachoma mafuta mpaka nyumbani kwangu alipofika nikamwambia leo nipo kwenye period! akaamua kukaa kupiga stori na kuondoka, yani yupo radhi achome mafuta aje achukue raha lakini sio kukupa msaada wowote

lakini mwombe hata elfu 10 mwambie nina shida ya elfu 50, simu inafungwa na haumsikii mpaka siku 3 ziishe, anajirudisha na sms ya kuforward ya vichekesho! aki hawa wanaume sijui wamekuwaje jamani! kha!
hata kama maisha magumu lakini sio kwa upenzi usikilizaji huu!

Mpenzi Mtazamaji:
Huyu bwana unaweza lia kabisaa
Yeye kazi yake kukuangalia na wimbo ule ule wa nakupenda lakini hana msaada! Wengine wanapenda Kuwaita manyonya damu wa maisha!

Kati ya hao wawili wewe Ushawahi kuwa na yupi? !

Anaweza akawa rafiki, shoga yako, best friend, beibe, ndugu, mchepuko, workmate, comrade!

TAR 15 APRIL 2019 SAA 1 USIKU YA TANZANIA HADITHI HII ITAENDELEA




You Might Also Like

0 comments

all rights reserved - OFFICIAL MONEY STARS | Designed by ARACK